Pichani ni Modem za Tigo ambapo leo asubuhi wakala 300 wa Tigo walipata semina ya siku moja ya namna ya kutumia Tigo Internet leo asubuhi. Mkurugenzi wa Mauzo wa Tigo Brahim Nallar akieleza jambo. Brahim akiendelea kutoa mafunzo. Baadhi ya wapiganaji wa Kampuni ya Simu Tigo wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa Habari wa Tigo Jackson Mbando aliyening'iniza kitambulisho.
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA SAME ZAKATA MAWASILIANO YA KATA TANO..
-
NA WILLIUM PAUL, SAME.
MVUA zinazoendelea kunyesha wilayani Same mkoani Kilimanjaro zimesababisha
kukatika kwa daraja ya Kizangaze na kukata mawasilia...
6 hours ago
0 Comments