Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imeridhia viwango vipya vya nauli kwa ajili ya usafiri wa abiria katika Jiji la Dar es Salaam. Viwango hivi vipya vimefikiwa baada ya kufuata taratibu za kisheria na za kiutendaji ambazo SUMATRA kama msimamizi na mdhibiti wa sekta ya usafiri wa barabara inapaswa kuzifuata kabla ya kuridhia viwango hivyo. Viwango vya nauli vinaanza kutumika kuanzia tarehe 10 Machi, 2011.
Mchanganuo wa viwango vipya vya nauli ni kama ilivyoambatanishwa.
David Mziray
Meneja Mawasiliano kwa Umma
SUMATRA
Dkt. Abbasi: Royal Tour Imelipa, Tunakuja na Mikakati Mingine Kabambe
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Aprili
30, 2026, “amewapiga msasa” waongoza watalii zaidi y...
2 hours ago
0 Comments