Social Icons

Saturday, June 11, 2011

TWANGA WALIVYONOGA KATIKA ONYESHO LAO CLUB BILICANAS LINALOFANYIKA KILA SIKU YA JUMATANO

Mnenguaji mkongwe wa bendi ya Twanga Pepeta Maria Soloma akiwajibika jukwaani.


Miraji Shakashia 'Shaka Zulu' akikung'uta gitaa.

Msanii wa filamu Odama akiwa katika picha na mdau Aisha Kalili ndani ya ukumbi wa Club Billcanas.

Mimi Khadija na Luiza katika picha baada ya onyesho nje ya Club BilicanasMeneja wa bendi ya Twanga Martin Sospeter akiwa na wadau wa bendi hiyo.



Kiongozi wa Bendi ya The African Stars International Twanga Pepeta Luiza Mbutu 'Mama Brian'. Wawili hawa ni Khadija Mnoga 'Kimobitel' na Janet Isinika wote waimbaji wa bendi ya Twanga.




Mratibu wa Shindano la Kimwana Manywele wa Twanga Pepeta Maimatha Jesse akiwa na mdau Shah. Khadija Kalili na Aisha Kalili hapa ni kabla ya kwenda kujivinjari katika onyesho la Twanga Club Bilicanas 'Bills'.





Muimbaji nyota wa bendi ya Twanga Charls Gabriel ''Charls Baba'


Aliyevaa nyeupe ni mnenguaji wa Twanga Baby Tall na Maria Soloma hapa ni nyonga kwa kwenda mbele.


Kushoto ni Amigolas akiwa na Dogo Rama .



Rama machachari wa bendi ya Twanga Msafiri Said 'Diouf' hivi sasa anajiita Kibabu Cha Loliondo.



Mnenguaji wa kiume wa bendi ya Twanga Mandela Sura Mbaya akipozi mbele ya Camera ya Bongoweekend.

1 comment:

Anonymous said...

Dada hata baada ya safari ndefu ya moshi hukupumzika? kweli wewe ni mwana libeneke.

 
 
Blogger Templates