Social Icons

Saturday, June 11, 2011

MBUNGE WA SINGIDA MJINI MO DEWJI ALIPOKUTANA NA WAZIRI MKUU WA INDIA

Waziri Mkuu wa India Mhe. Dkt. Manmohan Singh (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Mohammed Dewji katika hafla fupi ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Balozi wa India nchini katika Hoteli ya Kempinski jijini Dar hivi karibuni.Wa kwanza kushoto ni Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur.

No comments:

 
 
Blogger Templates