Social Icons

Saturday, June 11, 2011

MTOTO QUEEN MWAIJANDE ATIMIZA MIAKA MITATU ,HAPPY BIRTHDAY QUEEN




Mwandishi Mwandamizi wa gazeti hili Happiness Katabazi akiwa na mwanae Queen Mwaijande(3) wenye nyuso za furaha katika hafla fupi ya mtoto huyo ya kutimiza miaka mitatu iliyofanyika nyumbani kwao Sinza C, Dar es Salaam. Queen akiwa mkubwa anasema anataka awe Askari Mpelelezi ‘Chatu,Nusanusa’ wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)



No comments:

 
 
Blogger Templates