Social Icons

Tuesday, November 16, 2010

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE ATOA ZAWADI YA EID EL HAJJ

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete leo ametoa zawadi za Eid El Hajj kwa vituo mbalimbali nchini vinavyolea watoto yatima na wazee wasiojiweza ili wajumuike na Watanzania wengine kusherehekea siku kuu hiyo kwa furaha.Zawadi hizo ni pamoja na mbuzi,mafuta ya kupikia na mchele.Pichan ni msaidizi wa Rais Bwana Kassim Mtawa akimkabidhi zawadi ya mbuzi mkuu wa kituo cha kulelea wazee cha Msimbazi Sr.Yusta Mhumbila.Hafla hiyo fupi ilifanyika Ikulu jijini Dar es Salam(Picha: Freddy Maro).

No comments:

 
 
Blogger Templates