Social Icons

Thursday, November 18, 2010

MALKIA WA BAR YA TOP LIFE KINONDONI WAKIWA MAZOEZINI

Chini ni baadhi ya washiriki wa shindano la kumsaka Malkia wa Bar ya Top Life iliyopo maeneo ya Kinondoni Mkwajuni ambapo wanatarajiwa kuchuana katika shindano lililopangwa kufanyika Desemba 8 mwaka huu.

No comments:

 
 
Blogger Templates