Social Icons

Tuesday, November 16, 2010

KURA ZA ANETH HAZIJATOSHA TUSKER PROJECT FAME, ARUDI NYUMBANI

Aliyekuwa mwakilishi wa nchi katika shindano la Tusker Project Fame Aneth amerudi nyumbani baada ya kutolewa mjengoni Jumapili iliyopita.Aneth atakuwa mshiriki wa pili kutoka ambapo awali alitoka Leah Moudy huku Peter Msechu akiwa ni Mtanzania peke yake aliyebaki katika shindano hilo. Watanzania wameaswa kuwa na hamasa ya kuwapigia washirki wake wanapokuwa katika mashindano mbalimbali ili kuwanusuru kwa sababu ushindi wake au wao ni wataifa siyo binafsi. (Picha na www.Jiachie.blogspot.com)

No comments:

 
 
Blogger Templates