Social Icons

Thursday, October 14, 2010

TIGO YAADHIMISHA MIAKA 11 YA KIFO CHA NYERERE KWA KUHITIMISHA DROO YA JISAJILI NA USHINDE


Hapa mchuma ukiondoka katika viwanja ya International School of Tanganyika (IST), Masaki Dar es Salaam.

Mashuhuda wakiwa wamejichanganya na waliokuwa wachezaji wa timu ya kituo cha Televisheni na Luninga Cha East Africa (EATV).Pia kulifanyika Bonanza maalumu la kumuenzi muasisis wa Taifa la Tanzania ambapo bendi ya Muziki wa Dansi ya Diamond Musica ilitumbuiza.


akimkabidhi kadi ya gari lilokwisha sajiliwa . Mtengo wenyewe ni huu hapa Suzuki Vitara toleo jipya.'
Hamad akifurahia ushindi wa gari kulia ni Jackson Mbando a.k.a.Jackson Tigo.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo Jackson Mbando akimkabidhi mshindi wa gari Hamad S. Mohammed katika viwanja vya Shule ya Kimataifa ya Tanganyika IST Masaki Jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa Pikipiki hapa akiipiga moto klidogo.
Huyu nae alishinda pikipiki Sauda Abdallah, jumla ya pikipiki 10 zilitolewa wapo waliokuja na wapambe kushangilia ushindi leo asubuhi katika viwanja vya Shule ya Kimataifa Tanganyika.
Kina mama nao hawakubaki nyuma nao walikuwepo kuwakilisha .
Huyu nae aliondoka na Pikipiki yake.

No comments:

 
 
Blogger Templates