Social Icons

Friday, October 15, 2010

REGGAE NITE


Greetings!!!
Tungependa kufikisha news kuhusiana na REGGAE NITE Bash....Litakua ni bash mahsusi kwaajili ya kumkumbuka mfalme wa REGGAE..LUCKY DUBE.Zaidi ya hapo,itatambulisha Albamu Mpya Kali ya REGGAE iitwayo BONGO DREAD.kutoka kwa MACHIFU BAND.LIVE BANDS mahiri za REGGAE zitaperform pamoja na wasanii wa REGGAE wakiwamo.JHIKO MAN and Afrikabisa BANDRas NDUMI and Machifu BANDSister Carola Kinasha...Kama hiyo haitoshi,zitapigwa ngoma kali za REGGAE na madijey wakali kwenye one n two...Hakika hii si ya kukosa....Come ALL lets rock the party all nite long.....

No comments:

 
 
Blogger Templates