RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI ANGOLA KWA ZIARA YA SIKU TATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro Luanda kwwnye Ziara ya Kiserikali nchini Angola leo Aprili 07, 2025 ikiwa ni Mwaliko wa Rais wa Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço.

Post a Comment

0 Comments