Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameshiriki katika utiaji saini wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025. Shughuli hiyo imefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ikitanguliwa na mjadala wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa vyote vyenye usajili wa kudumu, waliohudhuria na kuridhia kanuni hizo, leo Jumamosi, tarehe 12 Aprili 2025.
THTU YATAKA MABORESHO YA UTAWALA BORA KUFANIKISHA DIRA 2050
-
*Na Mwandishi wetu, Dodoma*
*Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU) kimeitaka
Serikali kuimarisha utawala bora na mifumo ya ...
20 minutes ago




0 Comments