Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (katikati) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) (hawapo pichani) kuhusu majukumu mbalimbali
ya Benki hiyo wakati wa Kikao cha siku mbili chaKuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo
kuhusu majukumu ya benki hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14Januari, 2017.
Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) wakiteta
jambo wakati wa Kikao cha siku mbili chaKuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya benki hiyo
kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14Januari, 2017.
Mwenyekiti wa Kamati
ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (wa pili
kulia) akiwaeleza jamboWajumbe wa
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) pamoja Watendaji wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOT) wakati wa Kikao cha siku mbili chaKuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14Januari, 2017.
Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (wa pili
kulia) pamoja na Viongozi mbalimbali wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)
wakifurahia jambo wakati wa Kikao cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe
wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilichofanyika
jijini Dar es Salaam 13-14Januari,
2017.
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI KUSHIRIKI MKUTANO WA G20
-
Rais Samia Suluhu Hassan amealikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20
utakaofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil kuanzia Novemba 18 hadi 19, 2024
uk...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments