Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na uwezeshaji Inginia Christopher Chiza akimkabidhi mfano wa Barcode Mkurugenzi wa Kampuni ya ya Shear Illusions Shekha Nasser , ambazo zitatumika kwenye bidhaa zinazouzwa na maduka yake z a LuvTouch Manjano na katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika mkutano wa GS1 ambapo wajarisiamali wengi walihudhuria.
0 Comments