Katibu
Mkuu wa CUF, Maalim Seif, akitumbukiza kura yake kuchagua wajumbe wa
Baraza Kuu la Taifa la Uongozi, Kanda ya Mashariki uliofanyika jana
kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CUF, wakifuatilia mkutano huo.
Baadhio ya wagombea wa nafasi ya ujumbe katika Mkutano mkuu wa CUF Taifa, wakijiandaa kuomba kura.
Vijana
wa Uhamasishaji wa Chama cha CUF, wakitoa burudani wakati wa Mkutano
Mkuu wa Taifa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es
Salaam, jana.
0 Comments