christmas yapamba moto kwa pilika pilika jijini dar es salaam


Mkazi wa jiji la Dar es salaa akichagua mapambo ya mauwa ya mti wa christmas day kwa ajili ya kushelekea sikukuu hiyo inayotarajia kufanyika wiki ijayo  kama alivyokutwa makutano ya barabara ya uhuru na msimbazi leo
 Mfanya biashara ya mapambo ya christmas akisubili wateja



Post a Comment

0 Comments