| Fransic Miyeyusho |
BONDIA Fransic Miyeyusho wa Tanzania amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi katika mchezo wake na David Chalanga kutoka Kenya utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Msasani Klabu mchezo uhu wa kufunga mwaka na kufungua mwaka utakuwa wa raundi naneUtakuwa chachu kwa mabondia hawo wanaotamba Afrika Mashariki kugombea mikanda mikubwa ya ubingwa na kujiongezea rekodi ya ushindi mpambano huo unaosubiliwa kwa hamu na mashabiki wa mchezo wa masumbwi kila kona ya tanzania sasa imekuwa gumzo
akizungumzia mpambano huo miyeyusho
amesema yeye yupo fiti wakati wowote hule kwani ata sasaivi kama
mpinzani wake yuko tayali yeye yupo kwa ajili ya kupigana katika
mpambano huo kutakuwa na mapambano ya utangulizi
bondia Iddy Mnyeke ataoneshana ubabe na Cosmasi Cheka,Antony Mathias akizipiga na Fadhili Majiha Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akizichapa na Mohamed Kashinde
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa
na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria
zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
0 Comments