Wanachama
wa kikundi cha kuondoa umasikini cha Ukonga ' CEPA' wakiwa wamebeba
vyakula walivyopeleka katika kituo cha watoto yatima cha Msimbazi
mwishoni mwa wiki iliyopita kikindi hicho kilitoa vyakula mbalimbali
vikiwemo unga,mchele,sukari, mafuta maharage na baadhi ya vitu
mbalimbali
Mwenyekiti
wa kikundi cha wanachama cha kuondoa umasikini Ukonga 'CEPA' ,Ipyana
Kibona kushoto na Katibu mkuu wa kikundi hicho, James Musokwa wakisukuma
bembea walipo tembelea watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha
Msimbazi Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kutoa vyakula
mbalimbali kwa ajili ya watoto hawo yatima
Mwenyekiti wa kikundi cha wanachama cha kuondoa umasikini
Ukonga 'CEPA' ,Ipyana Kibona kushoto na Katibu mkuu wa kikundi hicho,
James Musokwa wakisukuma bembea walipo tembelea watoto yatima
wanaolelewa katika kituo cha Msimbazi Dar es salaam mwishoni mwa wiki
iliyopita na kutoa vyakula mbalimbali kwa ajili ya watoto hawo yatima
Wanachama
wa kikundi cha kuondoa umasikini cha Ukonga ' CEPA' wakisukuma bembea
watoto yatima wa kituo cha msimbazi walipotembelea na kutoa msaada wa
vyakula mbalimbali kwa ajili ya watoto hawo yatima
Mwenyekiti
wa kikundi cha wanachama cha kuondoa umasikini Ukonga 'CEPA' ,Ipyana
Kibona akimkabidhi mtoto yatima anaelelewa katika kituo cha
msimbazi,Baraka Mabibo msaana huo walioutoa na kupokelewa kwa niaba ya
watoto wenzie
KARATU YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA
-
Na. Saidina Msangi, WF, Karatu, Arusha
Wananchi wa Wilaya ya Karatu jijini Arusha, wametakiwa kuhakikisha kuwa
wanatumia Taasisi za fedha zilizosajiliwa am...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments