Waandishi wa habari na wawakilishi wa
asasi za kiraia kutoka maeneo mbalimbali wakishiriki mafunzo kuhusiana
sheria ya haki ya kupata habari pamoja na sheria ya huduma ya vyombo vya
habari ili kuchangia uwepo wa vipengele vipya katika katiba mpya ambayo
mchakatowake unaendelea.
|
0 Comments