Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya bia ya Serengeti,Steve Gannon (wapili kulia) , akiwa
pamoja na wafanyakazi wa SBL wakigonganisha chupa zao za Tusker Lite
kuashiria furaha ya kuzinduliwa kwa bia hiyo mpy. Tusker Lite
ilizinduliwa wakati wa tafrija maalum ya ‘Markerts Night’ jijini Dar es
Salaam jana.
Wafanyakazi
wa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wakiwa na mmoja wa washindi wa
shindano maalum la uchezaji mziki lililofanyika katika usiku maalum wa
Maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana. Mshindi huyo wa pili
alizawadiwa Glass maalum ya Tusker Lite, bia mpya iliyozinduliwa usiku
huo.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Epraim Mafuru (mwenye
suti kushoto) akimkabidhi zawadi ya Tusker Lite, Meneja bidhaa wa Push
Mobile, Gonzoga Rugambwa baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa shindano
maalum la uchezaji mziki lililofabnyika wakati wa uzinduzi wa bia ya
Tusker Lite sanjari na usiku wa maafisa masoko jijini Dar es Salaam jana
0 Comments