Social Icons

Friday, July 29, 2016

WASHINDI WA PROMOSHENI YA JIJENGE NA TWIGA CEMENT WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Charles Chale mkazi wa Gongo la mboto (wa pili kutoka kushoto), akipongezwa na Meneja Ukuzaji Biashara wa Twiga Cement, jamal Yahya baada ya kuibuka mshindi wa pili wa promosheni ya Jenga na Twiga Cementi' iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko, Simon Delens.
Charles Chale mkazi wa Gongo la mboto akieleza jinsi gani alivyoshinda zawadi hiyo ya mifuko ya simenti 400 kwente promosheni ya ‘Jijenge na Twiga Cement’

Meneja Usambazaji wa Twiga Cement, Tumain Joseph (kulia), akiuliza swali kwa mshindi wa promosheni ya ‘Jijenge na Twiga Cement’, Robert Kassim aliyejishindia mifuko 600 ya sementi katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko, Simon Delens.
Mshindi wa promosheni ya ‘Jijenge na Twiga Cement’, Robert Kassim akizungumza jambo baada ya kushinda mifuko miasita(600) ya simenti
Picha ya Pamoja

No comments:

 
 
Blogger Templates