Social Icons

Monday, June 13, 2016

Wadau wa filamu wakutana kujadili maendeleo ya sekta ya filamu

1Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fisso akizungumza katika kikao kati ya Bodi hiyo na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu, kushoto ni Mwanasheria wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula.
2Mwanasheria wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula akifafanua hoja za kisheria katika kikao kikao kati ya Bodiya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu, kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fisso.
3Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw. Simon Mwakifwamba akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu.
4Mjumbe wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw. Wiliam .J. Mtitu akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu.
5Baadhi ya washiriki kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, waandaaji wa filamu na wasanii wakifuatilia kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu.
( Picha zote na Shamimu Nyaki- WHUSM)

No comments:

 
 
Blogger Templates