Social Icons

Monday, June 13, 2016

TGNP MTANDAO YAWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI KUJADILI BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA 2016/17

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi Lilian Liundi akifungua akifungua kongamoano la kujadili bajeti ya serikali ya iliyosomwa Bungeni hivi karibuni.(Picha na Pamoja Blog)
Profesa Marjorie Mbilinyi Member wa TGNP akitoa somo kuhusu mambo yanayotakiwa kwenye bajeti hasa yanayomhusu mtoto wa kike kwani ndio nguzo kubwa katika jamii 
Profesa Prosper Ngowi kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe akichambua bajeti ya Serikali iliyosomwa bungeni hivi karibuni kwa wadau mbalimbali wa TGNP Mtandao leo Jijini Dar.
 Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, Dkt. Vincensia Shale akifafanua jambo wakati wa kujadili bajeti ya Serikali leo katika ukumbi wa TGNP Mtandao jijini Dar.
Hii ni moja ya Kibonzo kinachoonesha mwanamke anavyotegemewa kwa kila kitu katika jamii
Afisa Program uchambuzi na Machapisho kutoka TGNP Mtandao, Bw. Deogratius Temba akitoa mada mbele ya wadau mbalimbali kuhusu masuala ya bajeti pamoja na mazingira magumu ya wananchi wanayoyapata endapo bajeti hiyo haitawafikia watu wa vijijini

 Emmanuel Mariti akichangia mada wakati wa kongamano la kujadili bajeti lililofanyika katika ukumbi wa TGNP Mtandao
 Bi. Zubeda akichangia mada kuhusu bajeti
Mary akichangia mada inayohusu bajeti
Afisa wa Programu kutoka Jukwaa la Katiba Tanzania, Mchereli Machumbana kutoka akichangia mada
Baadhi ya wadau mbalimbali wakifuatilia kwa makini kinachoendelea katika kongamano ilo lililofanyika katika ukumbi wa TGNP Mtandao

No comments:

 
 
Blogger Templates