Social Icons

Thursday, September 3, 2015

SERIKALI YASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (katikati ) akiwa katika picha ya pamoja  na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Korea Seong-hyeog Yim (kushoto) mara baada ya kusaini na hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda jana Jijini Dar es salaam. Wengine katika picha ni Mtendaji wa Wakala  wa barabara nchini (TANROADS) . Daraja hilo litaanzia eneo la Aghakhan  kupitia bahari ya Hindi  na kuishia katika ufukwe wa Coco ikiwa ni katika mpango wa kupunguza msongamano  wa magari  karika daraja hilo .

No comments:

 
 
Blogger Templates