Social Icons

Wednesday, April 23, 2014

TASWIRA KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO.Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.

No comments:

 
 
Blogger Templates