Social Icons

Wednesday, June 27, 2012

KIONGOZI WA MADAKTARI ATEKWA NA KUJERUHIWA

                                          Dk.Stephen Ulimboka
  Madaktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiwa wamembeba Mwenyekiti wa Jumuiya ya  Madaktari nchini Dk.Stephen Ulimboka katika kitanda cha kubebea wagonjwa, huku akiwa chini ya ulizi mkali wa kutotaka apigwe picha .( Picha na Daniel Mwita).
  Baadhi ya madaktari wakimpiga mwanamume (Mwenye Kaunda suti katikati) anaedhaniwa kuwa ni usalama wa Taifa, baada ya madaktari hao kumhisi kuwa anatoa taarifa kuhusu tukio la kutekwa na kupigwa vibaya kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini  Dk.Stephen Ulimboka.(Picha na Daniel Mwita


Askari wa Hospitali ya Taifa Mhimbili wakimwokoa mwanamume anaedhaniwa kuwa ni usalama wa Taifa, (Mwenye Kaunda suti katikati) kutokana na kipigo alichokuwa akikipata kutoka kwa madaktari wa Hospitali ya  Taarifa Muhimbili baada ya kumhisi kuwa alikuwa anatoa taarifa kwa wanausalama wenzake kuhusu tukio la kutekwa na kupigwa vibaya kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Dk.Stephen Ulimboka.
                        ( Picha na Daniel Mwita).

1 comment:

Anonymous said...

We malaya mbovu kama blogi yako unaboa kwa kukopi kazi za watu nyoooo! Ukirudia bwana wako muuza unga namchukua

 
 
Blogger Templates