Social Icons

Sunday, December 25, 2011

WADAU WA MUZIKI WA MWAMBAO KATIKA PICHA

 Kutoka Kushoto Mdau wa burudani nchini Said Mdoe 'Screen Masters' mimi, Sakina Lyoka mama wa Ng'aring'ari na Mensah ndani ya Diamond Jubilee.
 Mimi na Abdallah Mensah Jembe ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee jana katika onyesho hilo.
  Somoe Ng'itu mdau wa muziki wa taarab  LT.Salma  Kalili  na Khadija Kalili kabla ya kutoka jana nyumbani kwenda Diamond katika uzinduzi  tukapata picha ya kumbukumbu.
Muimbaji wa Jahazi Moder Taarab Mwanne Othman Sekuru akiwakilisha na marangirangu mabingwa wa kuiga igeni na hii ha ha haaaa. 
 Aunt Somoe akiwa na Muimbaji wa kundi la Jahazi Mwanne ambaye awali alikuwa mwanahabari hivi sasa kalamu kaweka chini anakula kwa kutumia sauti yake.
Khadija na Bathollll.

1 comment:

Anonymous said...

huyo aliyevaa kijani ndo kapaka nini??? Utafikiria msukule jamani...

 
 
Blogger Templates