Social Icons

Sunday, December 25, 2011

MAMBO YA CHRISTIMAS EXTRA BONGO WAKAMUA NDANI YA MEEDA

Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo Ally Choki jana usiku alikamua vilivyo ndani ya ukumbi wa Meeda Sinza, Mori Jijini Dar es Salaam.Kulia ni muimbaji  Roggert Hegga na  rapa machachari Saulo John 'Fagurson walikonga nyoyo za mashabiki vilivyo katika mkesha wa sikukuu ya Christimas.
(Picha na John Bukuku)

No comments:

 
 
Blogger Templates