Social Icons

Sunday, September 25, 2011

SIMBA YAENDELEZA DOZI UWANJA WA TAIFA YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0

                                                            Mashabiki wa timu ya Simba wakishangilia.

 Mashabiki wa timu ya simba wakiendelea  na kutoa hamasa wakati mechi ikiebdelea jioni ya leo Uwanja wa Taifa.
 Emanuel Okwi akijaribu kumtoka  beki wa timu ya Mtibwa.
 Kikosi cha Mtibwa Sugar katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza.
Kikosi cha timu ya Simba katiika picha ya pamoja kabla ya mechi hiyo kuanza.

Picha ya kwanza juu  ni shambuliaji wa timu ya Simba Emmanuel Okwi akishangilia huku akiwa amembeba mchezaji mwenzake Amri Kiemba, mara baada ya kufunga goli dhidi ya timu ya Mtibwa Sugar ambao mpaka mpira unakwisha hawakupata goli, katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jioni ya leo mpira umekwisha na Simba wameshinda goli 1-0.
 Ulikuwa ni mchezo mgumu kwa pande zote kwani wamekuwa wakishabuliana na kukosa magoli mara nyingi pande zote huku magolikipa wakijitahidi kuzuia mipira ya hatari. Simba wamepata penati dakika za nyongeza hata hivyo beki wa timu hiyo Victor Costa amekosa penati hiyo baada ya golikipa wa timu ya Mtibwa Sugar Dida kupangua mpira huo.

No comments:

 
 
Blogger Templates