Social Icons

Friday, June 10, 2011

SERENGETI/ EAST AFRICAN BREWERIES BUILD A NEW BREWERY PLANT IN MOSHI REGION

Mkurugenzi wa SBL, Richard Wells akisalimiana na baadhi ya wanahabari katika kiwanda hicho.

Mkurugenzi wa SBL Richard Wells akiwa katika gari katika maandanamo ya kwenda Himo Moshi kuinadi Bia ya Serengeti pamoja na kuwapa habari wakazi wa Moshi kwamba wameanza uzalishaji wa katika kiwanda kwenye Manispaa hiyo.

SBL /EABL has built a new brewery plant in Moshi which , Previously , EABL/Kibo Breweries operated a brewery plant in Moshi but it was closed a few years back.

Today's event was to proudly mark the first production of the first bottle from this Brewery. The colourful ceremony was country in general SBL/ EABL create employment directly to Moshi peolpe and Tanzania as a whole .Speaking at the function which held on Thursday Managing Director of Serengeti Breweries Richard Wells said " we are confident that the plant will boost the economic activities of the town , beside offering employment to hundred s of Moshi residence".

Moshi Optical Centre ina among several SBL/EABL foundation sponsored projects we have invested in Moshi Tanzania, the investment worth 265m Tanzania Shillings.

The re- opening of plant has given so much hope especially to the farnmers who are now sure of the sale of their produce.

They commended the efforts:they were quick to note that Serengeti Breweries has kept promises in economic growth.


Watatu kutoka kushoto ni Meneja wa Bia ya Serengeti Allan Chonjo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa SBL, kiwanda kipya Moshi.

Kutoka kushoto ni mwendeshaji wa Blog ya Jiachie Ahmad Michuzi katikati ni Mkurugenzi wa SBL Richard Wells John Bukuku wa blog ya Fullshangwe.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Serengeti Richard Wells akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda hicho kipya kilichojengwa katika eneo la Boma Mbuzi Moshi.

Sehemu ya Kiwanda Cha Serengeti hapa ikiwa ni katika upakiaji wa Bia ya Serengeti kiwandani humo.

Mmoja wa mabosi wa Kiwanda Cha Serengeti Moshi Gerald Mandara.
Hii ni sehemu ya Bango la SBL, Manispaa ya Moshi.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Serengeti SBL, Richard Wells akiangalia picha kwenye Camera ya John Bukuku blogger wa Fullshangwe, hapa ilikuwa ni siku ya Alhamisi ambapo Wellsa alihudhuria uzinduzi wa uzalishaji wa Bia ya Serengeti katika kiwanda kipya kilichopo katika Manispaa ya Moshi.

1 comment:

Anonymous said...

kuna taswira moja nitakutumia ukiwa nyuma ya container unavaa T shirt yako ya kiwanda chetu bia yetu ulipendeza vibaya sanaaaa

 
 
Blogger Templates