Social Icons

Thursday, April 28, 2011

USAFIRI WA BODABODA NI MUHIMU MAHALI POPOTE

Wadau hapa ni maeneo ya Mji Mpya , Buselwa Mwanza mimi katikati na Aunt Aziza tukiwa katika usafiri wa Bodaboda kufupisha mwendo.

1 comment:

Anonymous said...

Bongo nako tumezidi ushamba,kupanda mapikipiki bila helmet,mkianguka na kufa hapo mnaanza kusema mmelogwa,kuanzia huyo muendeshaji hadi ninyi abiria ni washamba sana,ujanja wa bure na ndiyo maana maajali ya kijinga hayaishi bongo,sijui tutastaarabika na kujali maisha yetu lini jamani ???

 
 
Blogger Templates