Social Icons

Tuesday, December 7, 2010

UZINDUZI WA HARD MAD WAIVA

Mwanamuziki Hard Mad ambaye anapiga muziki wakekatika miondoko ya Reggae na Dance Hall anatarajia kuzindua albamu yake inayokwenda kwa jina la ‘Imebaki Stori’ Desemba 10 mwaka huu katika Ukumbi wa Makumbusho Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa habari , Meneja wa Lebo, Kwame Mchauru amesema maandalizi yote ya onyesho hilo yamekamilika ambapo Hard atasindikizwa na bendi ya wasanii mbalimbali.

No comments:

 
 
Blogger Templates