Social Icons

Tuesday, November 16, 2010

EXTRA BONGO WALIVYOKONGA MANGO GARDEN

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki kushoto akicheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onyesho la bendi hiyo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. (Picha na Shija Machella)
Hapa kama Wabogojo mtoto wa kike kajichakachua kama hana mfupa.

No comments:

 
 
Blogger Templates