Social Icons

Friday, October 8, 2010

WAZIRI PINDA AKAGUA MATREKTA KUTOKA INDIA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa mbele ya Matrekta aliyoyakagua jana aina ya Farmtruck kutoka nchini India wakati alipozindua mradi wa Matrekta ya Kilimo Kwanza unaosimamiwa na JKT SUMA katika eneo la kambi ya jeshi la Lugalo Jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

 
 
Blogger Templates