skip to main
|
skip to sidebar
BONGOWEEKEND
Habari za Kijamii,Michezo,Burudani na Siasa.
Social Icons
Pages
LIMSO PR COMPANY, Contact us:+255 755 707 046
Wednesday, October 20, 2010
KEVIN WA NIGERIA ATUA BONGO KUKAMILISHA MIPANGO YA HARUSI YAKE NA ELIZABETH GUPTA
Mshindi wa Big brother revolution mwaka jana KEVIN CHUWANG akiwa na familia yake ametua hapa bongo kwa ajili ya kutoa mahali ya dada yetu Elizabeth tayari kwa maandalizi ya harusi yao itakayofanyika mwezi wa pili mwakani.Katika moja ya vikao vyake hapa Dar Kevin aliniita ili kushauriana mambo kadha wa kadha juu ya harusi yao lakini pia juu ya project zake anazotarajia kufanya Africa mashariki.Binafsi nilianza kujuana na Kevin katika jumba la big brother revolution mwaka jana ambapo mimi nilikuwa humo kama star mwalikwa tu,wakati naondoka katika jumba hilo baadhi ya housemate kama Hannington,Leonel nk waliniomba nguo zangu lakini Kevin yeye aliomba nimpatie jina la The great,nami nilimwita Kevin The great nikimwambia kuwa atakuwa the great wa jumba hilo,hatimae alishinda na kuzidi kuwasiliana nami.
(Picha story na Kanumba)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog Rafiki
MTAA KWA MTAA BLOG
SERIKALI YATOA BIL 1.5 UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA MWANZA
VIJIMAMBO
TUSIWATENGE WALA KUWANYANYAPAA WATOTO WENYE USONJI - MAJALIWA
JIACHIE
TAMWA ZANZIBAR YAWANG'ARISHWA WAANDISHI CHIPUKIZI
MICHUZI BLOG
TAMWA ZANZIBAR YAWANG'ARISHWA WAANDISHI CHIPUKIZI
ZanziNews
ZASP WAHIMIZWA KUTUMIA MTAALA MPYA WA ELIMU
Wazalendo 25 Blog
Maisha : Kamati ya PIC Yaridhishwa na Uwekezajia wa Jengo la PSSSF Commercial Complex
8020Fashions Blog
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
JESTINA GEORGE
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
SUFIANIMAFOTO
MATUKIO KATIKA PICHA YANGA ILIPOLALA BAO 1 KWA SIMBA TAIFA JANA
PAMOJA BLOG
MAHOJIANO YA TAUSI SUEDI NA AMRI NGOYE KUHUSU CSI KUPITIA KWANZA PRODUCTION NCHINI MAREKANI
The CEO Culinary Artist Tanzanian Executive chef Issa Kapande
JIFUNZE JINSI YA KUPIKA KUKU WA KUKAANGA
Popular Posts
CHUO CHA CBE KUANZA KUTOA SHAHADA YA ELIMU KATIKA MASUALA YA BIASHARA
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza wakati wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu ...
MABONDIA SADIQ MOMBA NA BAINA M,AZOLA WASAINI KUZIPIGA MARCH 5 TASUBA BAGAMOYO
Mabondia Sadiq Momba kushoto wakitambiana na Baina Mazola baada ya kutia saini ya kuzipiga march 5 katika ukumbi wa Tasuba Bagamo...
(no title)
Mobhale Holmes (Mwita) Matinyi kushoto ambaye ni mwandishi mtangazaji mkongwe pia ni mchambuzi wa masuala ya Siasa ya ndani na nje ya n...
Fahamu siri ya Kida Waziri kukaa kimya miaka 20 nje ya muziki
Na Abdallah Menssah Kutana na Kida Waziri ambaye ni Mjukuu wa hayati Shaaban Robert , aliyeacha historia katika bendi ya Vijana Jazz .Kwa m...
(no title)
THT KUZINDUA ALBAM ZA WASANII WAKE NYOTA SITA MLIMANI CITY
KUHUSU MATALUMA Mataluma anajulikana kwa ngoma yake maarufu sana “Kariakoo”,Mataluma ni moja kati ya wasanii wengi ambao wapo ndani ya nyum...
KUNDI LA KANGA MOKO YATAITIWA BUNGENI
KIKUNDI cha unenguaji cha wasichana jijini Dar es Salaam maarufu kama kanga moto, ndembendembe, laki si pesa, jana kiliibua gumzo bungen...
GOLDEN MOMENT YA SERENGETI FIESTA DODOMA ILIVYOFANA
Nahodha wa timu ya Mashabiki wa Chelsea John Kanakamfumu akipokea kombe kutoka kwa afisa mauzo wa Serengeti Breweries Dodoma Emanuel Bonanz...
MSANII WA FILAMU BONGO SKYNER ALLY, AFUNGA PINGU ZA MAISHA
MSANII wa Filamu nchini Skynner Ally mwishoni mwa wiki alifunga pingu za maisha baada ya kufunga ndoa na mumewake Sadi Omar , ndoa ilifung...
SERENGETI PREMIUM LAGER WINS DLG’s GOLD MEDAL FOR QUALITY
Kutoka kushoto ni Ofisa Mawasiliano SBL Imani Lwinga, Mkurugenzi wa Masoko SBL Ephraim Mafuru, Mpishi wa Bia ya Serengeti Dar es Salaam Dona...
Powered by
Blogger
.
Followers
TUTUMIE HABARI
TUMA HABARI/USHAURI E-mail: lindashebby@gmail.com
.
Labels
bongoweekend.blogspot.com
WW.BONGOWEEKEND.BLOGSPOT.COM
www.bongoweekend.blogspot.com
Social Icons
No comments:
Post a Comment