Social Icons

Friday, October 15, 2010

BIG BROTHER ALL STARS YAFIKA MWISHO

Sheila (Kenya), Uti (Nigeria) na Lerato Afrika (Kusini) wakiteta jambo.
Lerato (Afrika Kusini) akiwa na Mwisho (Tanzania) ndani ya jumba kabla wawili Kaone na Tatiana kutolewa mjengoni.
Lerato akiwa na Uti kabla ya kutangazwa na Biggie kuwa wameingia katika fainali za shindano hilo la BBA All Stars 2010.
Sheila mwakilishi wa Kenya na Uti Nigeria .
Kaone mara baada ya kutajwa kuwa analazimika kutoka katika mchezo huo.
Kama walijua kuwa wote wanatoka wakawa sambamba.
Kama ilivyoada mshiriki/washiriki wanapotoka hufanyika mahojiano.
It’s day 84 on M-Net’s Big Brother All Stars --- and in an action packed show on Sunday Kaone and Tatiana got evicted from the Big Brother All Star house with one week left to go untilthe end of the show.
Stay tuned to M-Net’s BIG BROTHER ALL STARS with 24/7 coverage on DStv channel 198 plus daily edited shows on M-Net and AfricaMagic. For more information on the series, log on to www.mnetafrica.com/bigbrother.

No comments:

 
 
Blogger Templates