Social Icons

Wednesday, September 29, 2010

Noel Msuya amwaga sera za Twanga Pepeta

Pichani ni Meneja wa Bendi ya The African Stars Twanga Pepeta Noel Msuya hakiwa nje ya jengo la Club Bilicanas ambapo alifika kuweka sawa maandalizi ya onyesho lao usiku wa leo ndani ya Blicanas linalofahamika kama Ngoma Nite.Kesho Twanga watakamua katika ukumbi Club SunCiro Sinza wakati siku ya Ijumaa watakwenda Bwalo la Magereza Ukonga na Jumamosi kama kawaida watakua katika kiwanja cha nyumbani Mango Garden Kinondoni na Jumapili mchana katika Bonanza Pale Leaders Club na usiku watahitimisha buirudani ya mwisho wa juma katika kiwanja cha TCC Club Chang'ombe Dar es Salaam. Hivi sasa bendi hiyo inatamba na kibao 'MAPENZI HAYANA KIAPO' uliotungwa na Saleh Kupaza.

No comments:

 
 
Blogger Templates