VISIMA 20 VYA DAWASCO KUKAMILIKA MACHI MWAKA HUU


  Maji yakiruka  juu baada ya kutobolewa  mwamba mita 600 kutoka  katika koja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na na Majitaka Dar es Salaam  (Dawasa )katika eneo la Kimbiji , Kigamboni  na Mpera Muranga.

Mamlaka  hiyo imejidhatiti  kutatua  uhaba wa maji  kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na viunga vyake.Uchimbaji wa visima  hivyo unatarajiwa  kukamilika Machi Mwaka huu,

 
 Mitambo ya Kampuni ya Serengeti ikichimba kisima eneo la Kimbiji, Kigamboni Dar es Salaam.

 Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Dawasa, Romanus Mwang'ingo akielezea mikakati ya huduma za maji katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.
 Mwang'ingo akiwa na baadhi ya watalaamu wa Kampuni ya Serengeti akielekea kukagua uchimbaji wa Kisima eneo la Kimbiji
Mwenyekiti wa Mradi wa Maji wa Ngembaki, Salum Selenge akielezea mbele ya wanahabari kuhusu mafanikio ya mradi huo kwa wajkazi wa eneo la Mbagala Kuu.
 Msemaji wa Dawasa, Nelly Mtema akifafanua mambo mbalimbali kuhusu huduma za mamlaka hiyo, wakati wanahabari walipotembelea Mradi wa Maji wa Jamii wa Ngembaki, Ra
Tamki la kuhifadhi maji katika Mradi wa Maji wa Ngembaki  Mbagala Kuu Dar es Salaam unahudumia zaidi ya wakazi 40,000
Meneja wa Mradi wa Maji wa Kipunguni B, Ukonga Dar es Salaam, Marcus Mwalugenge, akielezea kuhusu mafanikio ya mradi huo wenye tanki (chini) lenye uwezo wa kuhifadhi maji lita za ujazo 135,000
Picha zote  na Richard Mwaikenda 

Post a Comment

0 Comments