MRADI WA KUKU WA KIENYEJI WAZINDULIWA MITEJA LINDI

 Wakiwa na furaha ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Namaingo Business Agency Limited, Ubwa Ibrahim baada ya kuzindua Mradi wa Ufugaji  Kuku kwa wanachama 3000 wa kampuni hiyo kutoka mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma katika hafla iliyofanyika Kijiji cha Miteja, wilayani humo hivi karibuni.
 (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akifungua mlango katika banda la vifaranga vya mbegu vya mradi huo
 Vifaranga vya mbegu ya kuku wa kienyeji vinavyofugwa kisasa
 Mpiga Picha wa Gazeti la Tanzania Daima,  Said Powa ambaye aliliwakilisha kundi la Wananchama Wanahabari la Kwanza One akipokea cheti cha usajili kutoka kwa  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Mjaka wakati wa hafla hiyo
 Kundi la Wanahabari la Kwanza One likishangilia kwa furaha baada ya kukabidhiwa cheti cha kuwa miongoni mwa wanachama watakaoshiriki kwenye mradi huo
 Mbegu za mazao zilizooteshwa kwa ajili ya kulisha kuku

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Ufugaji Kuu ya Shitindi Poutry Farm, Shitindi (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi, ambapo aliahidi kununua mayai ya wanachama wa ufugaji wa kuku wa Namaingo.


 Ni burudani kwa kwenda mbele
 Mtalaamu wa ufugaji kuku wa kienyeji akielezea jinsi mfugaji anavyoweza kuzalisha majani ya malisho kwa kutumia mazao mbalimbali

 Mkurugenzi Mtendaji wa Namaingo, Ubwa Ibrahim akizungumza wakati wa hafla hiyo
 Sehemu ya umati uliohudhuria hafla hiyo
 Mjaka akihutubia wakati wa hafla hiyo
 Baadhi ya Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba
 Moja ya mabanda ya kuku yaliyoandaliwa kwa ajili ya
Wanachama wakifurahia baada ya kukabidhiwa cheti cha usajili wa Biashara cha Brela


Mwenyekiti wa Namaingo Mkoa wa Ruvuma akipokea cheti cha Brela
Dk. Hassan Kijaki Mtaalalamu wa Mifugo wa Mkoa wa Lindi akielezea kufurahishwa na kitendo cha Namaingo kuwekeza mradi wa kuku mkoani humo.
Mchumi wa Mkoa wa John Mwalongo akihutubia wakati wa hafla hiyo
Bi Ubwa na Mjaka wakikagua bidhaa mbalimbali  zilizotengenezwa na wajasiriamali  nakufungwa kwa njia ya kisasa.


Post a Comment

0 Comments