Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Istiqaama tawi la Pemba
Sheikh Mohammed Suleiman alipowasili viwanja vya karimjee Dar es salaam
jana Novemba 09, 2014, katika Hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia kwenye Hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436
Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania katika ukumbi wa
Karimjee Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya
Istiqaama Tanzania baada
ya kumalizika kwa Hafla ya kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya
iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania katika ukumbi wa Karimjee
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania nje ya
ukumbi wa karimjee baada ya kumalizika Hafla kuupokea Mwaka mpya wa
Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania.
0 Comments