Social Icons

Wednesday, March 21, 2018

SBL YATANGAZA MPANGO KABAMBE WA KUWASAIDIA WAKULIMA NCHINI

Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) John Wanyancha, akiwasilisha mada ya utendaji na changamoto za kampuni hiyo kwa wajumbe wa  Kamati ya kudumu ya Bajeti, walipotembelea kiwanda cha Mwanza jana.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Hawa Ghasia(katikati) akiongozwa na mwenyeji wake  Mwanzilishi wa kiwanda cha bia Serengeti tawi la Mwanza Christopher Gachuma(kushoto), walipotembelea kujionea utendaji na changamoto,jana, kulia ni mjumbe wa kamati hiyo Albert Obama.Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji Prof Elisante Ole Gabriel(katikati) akifurahia jambo na Mwanzilishi wa kiwanda cha bia Serengeti tawi la Mwanza Christopher Gachuma(kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bajeti Albert Obama, wakati wa ziara ya kamati hiyo katika kiwanda cha bia cha Setrengeti  jijini Mwanza jana kujionea utendaji mapema wikiendi hii.

No comments:

 
 
Blogger Templates