Social Icons

Tuesday, March 28, 2017

TAGOLLA AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI TEMESA


Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mwasiliano Elizabeth Tagolla (aliesimama) akifungua kikao cha baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kinachofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

No comments:

 
 
Blogger Templates