Social Icons

Sunday, January 15, 2017

TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI MSIBA WA AMINA ATHUMANI

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani kutokana na kifo cha Mwanahabari za michezo, Amina Athumani.

Katika salamu hizo ambazo pia zimekwenda kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto; Rais Malinzi ameelezea kushtushwa kwake kwa taarifa za kifo cha ghafla cha Amina Athumani.
Mwenyeezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahalipema peponi  Ameen
Innalilah wainna ilaih rajiun

No comments:

 
 
Blogger Templates