Social Icons

Monday, August 8, 2016

SIGHTSAVERES NA IDARA YA AFYA MKOA WA LINDI WATOA HUDUMA YA MACHO BURE NANE NANE


Mratibu wa Huduma za Macho Mkoa wa Lindi Dk.Mwita Machage akimpima mgonjwa wa macho wakati wa sikukuu ya Nane Nane katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi leo.Huduma hii ya upimaji wa macho imefadhiriwa kwa ushirikiano wa shirika lisilo la kiserikali la Sightsavers Tanzania na sekretarieti ya mkoa wa Lindi Idara ya afya mkoa.


No comments:

 
 
Blogger Templates