Social Icons

Sunday, May 1, 2016

GALA DINNER YA DICOTA NA HAFLA YA KUTOA VYETI ILIVYOFANA


 Mhe. Wilson Masilingi Balozi wa Tanzania nchini Marekani na mkewe Marystela Masilingi na wageni wao wakihudhuria gala Dinner ya DICOTA  2016 iliyofanyika siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency Dallas, Texas nchini Marekani. Katika gala Dinner kulikuwepo Balozi alishiriki utoaji vyeti kwa wadau mbalimbali na yeye mwenyewe kupewa zawadi kutoka menej wa Turkish Air ambao walikua nikati ya wadhamini wa kongamano la DICOTA 2016. Picha na Vijimambo/Kwanza Production
Wageni waalikwa wakiwa kwenye gala dinner ya kongamano la DICOTA 2016.
Wadau waliohudhuria kongamano la DICOTA 2016 wakiwa kwenye Gala Dinner siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency Dallas, Texas nchini Marekani.
Gala Dinner ikiendelea.
 
BALOZI MASILINGI AKIKABIDHI VYETI.
RAIS WA DICOTA NDAGA MWAKABUTA AKIPEWA ZAWADI MAALUM NA DICOTA KWA MCHANGO NA KAZI NZURI ANAYOIFANYA.
 SHIRIKA LA NDEGE LA TURKISH LIKITOA TIKETI YA NDEGE KWA MSHINDI AMBAYE ALIKUA NI STEVE KUTOKA MASSACHUSETTS NA WALITOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WADAU WA DICOTA AKIWEPO ZAWADI KWA MHE. BALOZI WILSON MASILINGI.
 BURUDANI
 


 NGOMA  ZA UTAMADUNI
MITINDO YA MAVAZI MBALIMBALI.
 

No comments:

 
 
Blogger Templates