Social Icons

Thursday, October 29, 2015

CHADEMA YAWASILISHA BARUA YA KUPINGA MATOKEO YANAYOTANGAZWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI



Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akikabidhi barua ya malalamiko kuhusu matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa kwa  Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam. Katikati ni Wakili wa Chadema, John Mallya. (Picha na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati alipowasili kukabidhi barua ya malalamiko kuhusu matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa na NEC.
 Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati alipowasili kukabidhi barua ya malalamiko kuhusu matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa na NEC. Kulia ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
 Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akihakikia nyaraka za malalamiko kabla ya kukabidhi NEC.
 Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi barua ya malalamiko kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
 Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni akitoka katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi huku akiongozana na wakili wa Chadema, John Mallya.

No comments:

 
 
Blogger Templates