Social Icons

Monday, June 1, 2015

CCM MOSHI VIJIJINI WAMPONGEZA MWENYEKITI MPYA WA MJI MDOGO WA HIMO HUSSEIN JAMAL


Mwenyekiti Mpya wa mji mdogo wa Himo,Hussein Jamal akiwasili katika ukumbi wa King size katika mji wa Himo kwa ajili ya sherehe ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kushinda kiti hicho.

Baaadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa Himo wakiwa katika sherehe hizo.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi Vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakatio wa sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa mji mdpgo wa Himo ,Hussein Jamal.
Kamanda wa Uhamasishaji wilaya ya Moshi Vijijini Hassan Hussein,akizungumza wakati wa sherehe hizo.
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi kutoka wilaya ya Kinondoni,
Mzee Shayo maarufu kama King size akimpongeza naibu kamanda wa jumuiya ya Vijana wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Melecky  kwa uamuzi wake wa kutangaza nia ya kutaka kugombea jimbo la Vunjo.
Viongozi wakiimba nyimbo za pongezi .
Mwenyekiti mpya wa mji mdogo wa Himo ,Hussein Jamal akizungumza na wananchi waliofika katika sherehe za pongezi zilizofanyika katika ukumbi wa King size uliopo mji mdogo wa Himo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

 
 
Blogger Templates