Social Icons

Saturday, April 18, 2015

JULIO AKIWAFUNDA COASTAL UNION


Kocha Mkuu wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu 'Julio' akisisitiza jambo kwa wachezaji wa timu hiyo mara baada ya kumalizika mazoezi yao juzi kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya Ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro itakayochezwa Jumatano wiki ijayo kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro,Picha kwa Hisani ya Coastal Union.

No comments:

 
 
Blogger Templates