Social Icons

Thursday, July 31, 2014

MASHINDANO KATIKA DANCE MIA MIA




 Vijana wakionyesha umahiri wao wa kuchezea Baiskeli wakati wa mashindano ya Dance Mia mia, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Don Bosco Oysterbay wiki iliyopita.
 Kundi kutoka TMK, likishambulia jukwaa.
 Kundi kutoka Kigamboni, likishambulia jukwaa.
 Kundi lililoonyesha kukonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliokuwapo uwanjani hapo.
 Si Kung Fu bali ni Dance Mia mia......
 Michezo ya Baiskeli....

No comments:

 
 
Blogger Templates