Social Icons

Tuesday, September 24, 2013

PICHA ZA REMMY WILLIAMS

 Anaitwa Remmy williams mtanzania anayefanya mziki nchini Italy amefanya nyimbo akiwashirikisha wasanii wa hapa King Ruston, Moses Thomas& Mirror Rhymes. nyimbo inaitwa AFRICA, imefanyioka katika studio za Overclassic, video imefanywa na  campuni ya Emedia chini mwongozaji Nick Dizo na Sama katika viunga vya Mwanza
 Remmy Williams  katika pozi.
 

No comments:

 
 
Blogger Templates